Friday, 14 February 2014

BAADA YA KUMALIZA RECORD NYIMBO MPYA YA DULLAYO

Msanii Dullayo anatarajia kuachia hewani kibao chake kipya alichofanya na msanii tokea Congo bwana Kenedoo Mokonzi, kaeni mkao wa kupokea nyimbo hiyo ya kimataifa iliyotengenezwa na producer Gachi ndani ya Green Records.

No comments:

Post a Comment