KAENI MKAO WA KUPOKEA VIDEO MPYA KUTOKA KWA WASANII GACHI & TRIO AMBAYO PUNDE ITAWAJIA.
TUNASHUKURU MUNGU KWA KUMALIZA CHUKUA VIPANDE VILIVOBAKI KATIKA VIDEO YA GACHI NA ITAWAJIA HIVI KARIBUNI. SHUKRANI KWA WOTE MLIOFANIKISHA ZOEZI HILI. NA HII NI MOJA YA PICHA ILOCHUKULIWA KUTOKA KWENYE VIDEO HIYO.
No comments:
Post a Comment